Walimu wa Chuo: Part Time Job

Umehitimu Masomo ya IT kwa ngazi ya Degree? Una Second Upper and Above? Unauwezo wa Kufundisha? UPO Dar Es Salaam?
Part Timers wanahitajika.
Tuma CV yako kwa [email protected]

Sifa: Uwe na Degree Ya Kozi yoyote inayo endana na Information Technology
– Uwe na Ufaulu wa walau Second Upper
– Experience haihitajiki sana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *