3 Temporary Job Vacancies at The National Electoral Commission (NEC) – Election Supervisor & Assistant Election Supervisors at Zanzibar(3position)


The Background on the National Electoral Commission of Tanzania

In 1991 the then President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Ali Hassan Mwinyi appointed a commission under the Chairmanship of the late Chief Justice of Tanzania, the Honourable Francis L. Nyalali. The task of that Commission was to collect public opinion as to whether or not to continue with the one-party system.

Following the recommendations by the Nyalali Commission, Article 3 of the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977 was amended to make Tanzania a multi-party state.

The Political Parties Act, (No. 5 of 1992) was enacted to provide for the registration of Political Parties. The Elections Act, (No.1 of 1985), the Local Authorities (Elections) Act, (No. 4 of 1979), and related legislation were also substantially amended to get rid of the one-party system and to put in place appropriate procedures for the conduct of Elections under the multi-party system.

In 1993 the National Electoral Commission was established under Article 74 (1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977. Members of the Commission were appointed for the first time, with effect from 14th January 1993.

ESTABLISHMENT OF THE NATIONAL ELECTORAL COMMISSION

The National Electoral Commission (NEC) is an autonomous government institution. It was established in 1993 under Article 74(1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977. The National Electoral Commission shall consist of the following members:

 1. A Chairman who shall be a Judge of the High Court or the Court of Appeal of Tanzania or a lawyer who qualifies to be an advocate and he/she has been with such qualifications for not less than 15 years.
 2. A Vice-Chairman who shall be a Judge of the High Court or the Court of Appeal of Tanzania or a lawyer who qualifies to be an advocate and he has been with such qualification for not less than 15 years.

iii. A member appointed from amongst the members of the Tanganyika Law Society

 1. Four other members who are persons possessing either adequate experience in the conduct or supervision of Parliamentary elections or such other qualifications as the President of the United Republic of Tanzania considers necessary for or pre-requisite to, the effective discharge of the functions of the Commission.

According to Article 74(7) of the Constitution of the United Republic of Tanzania and Section 4(4) of the Elections Act, (No. 1 of 1985), the Director of Elections is the Secretary to the Commission and Chief Executive.

The National Electoral Commission of Tanzania has announced new 3 Temporary jobs vacancies at Zanzibar for more information read the Descriptions below:-

Tume ya Taifa ya uchaguzi inatarajia kuendesha uchaguzi wa Mbunge wa jimbo la konde upande wa Tanzania Zanzibar, octoba 202. Katika Kutekeleza jukumu hilo, Tume inatangaza nafasi za kazi ili kupata watendaji watakao simamia zoezi hilo. Nafasi hizo nikama zifuatazo:

 

A.Msimamizi wa Uchaguzi(nafasi 1)

 1. Majukumu ya Msimamizi wa Uchaguzi
 • Kuratibu na Kusimamia shughuli za uchaguzi kattika jimbo lake
 • Kusimamia na Kufuatilia utendaji kazi wa watendaji wa uchaguzi waliochini yake
 • Kutunza vifaa vya uchaguzi katika jimbo husika.
 • Kusimamia matumizi ya Fedha za uchaguzi
 • Kushirikiana Na Kushauriana na mrajibu wa uchaguzi katika kuleta ufanisi kwenye shughuli za uchaguzi
 • Kutoa taarifa ya mwenendo wa hatua za uchaguzi kwa kuzingatia maelekezo ya Tume ya Taifa ya uchaguzi
 1. Sifa za Msimamizi wa Uchaguzi
 • Awe raia wa Tanzania
 • Awe mtumishi wa Umma
 • Awe na shahada au stashahada ya Juu au stashahada katik fani yeyote
 • Awe tayari kujituma na kuweza kufanya kazi bila usimamizi wa karibu
 • Awe na uzoefu katika masuala ya uchaguzi/ uandikishaji wa wapiga kura
 • Awe mwadilifu na mwaminifu

 

B.Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Ngazi ya Jimbo(Nafasi2)

 

 1. Majukumu ya Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo:
 • Kuwa kiungo kati ya Jimbo na Wilaya
 • Kusimamia Shughuli zote za uchaguzi katika jimbo
 • Kumsaidia msimamizi wa Uchaguzi katika Masuala yote ya uchaguzi

2.Sifa za Msimamizi msaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo:

 • Awe raia wa Tanzania
 • Awe ni mtumishi wa umma
 • Awe na shahada au stashahada ya juu au stashahada katika fani yoyote
 • Awe tayari kujituma na kuweza kufanya kazi bila usimamizi wa karibu
 • Awe na uzoefu katika masuala ya uchaguzi/Uandikishaji wa kupiga kura
 • Awe mwadilifu na mwaminifu

 

zingatia:

Kila mwombaji katika nafasi husika aainishe nafasi anayoiomba na aambatanishe maelezo ya taarifa binafsi                   cv, Jina la taasisi anayofanyia kazi na cheo.

Mwisho wa kutuma maombi: 03/09/2021

Barua zote zielekezwe kwa

Mkurugenzi wa uchaguzi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Ofisi ya Zanzibar

Mtaa wa Maisara,

s.l.p 4670.

Zanzibar

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *